Showing posts with the label
kitaifa
Kiongozi wa ngazi ya juu nchini Uturuki, Yasin Aktay, amesema anaamini kuwa mwili wa mwandishi Jamal Khashogi uliyeyushwa kwenye tindikali baada ya kuuawa na kukatwa katwa. Bw Atkay ambaye ni m…
Katika Account yake Rais magufuli ameandika maneno haya kufuatia kifo cha mwanafunzi juzi “Nimesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT).Natoa pole…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kugharamia mazishi ya mwanafunzi wa chuo cha usafirishaji (NIT), Akwilina Akwelina aliyeuawa kwa kupigwa risasi na askari polisi siku ya Iju…
Msanii wa filamu za Bongo, Wastara Juma, tayari ameshawasili nchini India na kuanza rasmi matibabu ya mguu wake katika Hospitali ya Saifee nchini humo. Wastara ambaye alichangiwa fedha na Wat…
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo wamesema hawana imani na msimamizi wa uchaguzi jimbola Kinondoni wakidai kuna njama zilizopangwa dhidi ya chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika…
MAHAKAMA ya Wilaya Kinondoni imewahukumu miaka 30 jela Benard Joseph na Yaram Leonard, ambao walimuibia kwa kutumia silaha msanii wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha. Katika kesi hiy…
Kiongozi wa Upinzania nchini Kenya ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Miguna Miguna ameshtakiwa na kosa la uhaini baada ya kuhusika katika kuapishwa kwa, Raila Odinga. Miguna kosa analotuh…
Kuna stori nikizipata uwa lazima nihakikishe nakusogezea sasa hii ni ya Jamaa mmoja atatumikia kifungo cha muda jela baada ya kumuadhibu mkewe kwa njia ya kushangaza. Moses Okello aliwashangaza wa…
Jamaa mmoja ajulikanaye kwa jina la Ambwene John Mkazi wa Tunduma anashikiliwa na polisi kwa kosa la mauaji ya mtoto wake wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja. Siku ya tukio ambwene alikwenda kumchu…
Huko Kenya mambo yanaendelea kuwa moto baada ya mwanasheria aliyemuapisha Raila Odinga Kukamatwa na polisi. Taarifa kutoka vyanzo vya habari vinasema inawezekana Miguna Miguna ambaye ndiye alimuap…
Mtuhumiwa namba moja ambaye anayedaiwa kuhusika na kifo cha msanii muziki nchini Uganda, Mowzey Radio amekamatwa na Jeshi la Polisi nchini humo. Kijana Wamala Godfrey mwenye umri wa miaka 2…
Mgombea udiwani (Chadema) Kata ya Buhangaza, Mchungaji Athanasio Makoti (28) aliyepotea Februari 2,2018 katika mazingira ya kutatanisha amepatikana akiwa hajitambui. Makoti amepatikana leo Fe…
Katika Picha ni Purukushani wakati kituo hicho kikifungwa Mjini Njombe, Kampuni ya Mafuta ya Total Imekifungia Kituo Chake Cha Mafuta Cha Mjini Njombe Kutoa Huduma Baada ya Wakala Aliyepe…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema amesikitishwa na kifo cha msichana Marim Sandalu (17) aliyekuwa na uvimbe begani. Mariam ambaye ni mkazi wa Mas…
Mwanamme aliyefahamika kwa jina la N’na Fanta Camara amekamatwa na polisi nchini Guinea kwa kuwalaghai wanawake ambao hawana uwezo wa kupata watoto kuwa angeweza kuwasaidia kupitia dawa za asili. …
Mvua kubwa iliyonyesha katika kijiji cha Mwekako kata ya Kasenga wilayani Chato mkoani Geita imesababisha vifo vya watoto wawili na kuharibu mali. Diwani wa Kata ya Kasenga, Damian Vilarie am…
Unaambiwa ukistaajabu ya Musa basi utajionea ya Filauni! kumekuwa na taarifa kuwa kuna baadhi ya maeneo nchini Uganda watu wanaomiliki mabucha wamekuwa na desturi ya kutumia dawa ya kuhifadhia mait…
Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Julius Mwita amefunguka na kusema kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu S…
Wanahabari wanne wa vyombo mbalimbali vya habari wilaya ya Kahama wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujipatia Sh1milioni kutoka kwa mganga wa jadi baada ya kujifanya maofisa Usalama …
Idara ya uhamiaji nchini imeagiza kurudishwa makwao, zaidi ya wahamiaji haramu 100 waliokuwa wakiishi nchini tangu mwaka 1972 pasipokuwa na kibali jambo ambalo ni kinyume na sheria. Ofisi ya Uh…