Huko Kenya mambo yanaendelea kuwa moto baada ya mwanasheria aliyemuapisha Raila Odinga Kukamatwa na polisi. Taarifa kutoka vyanzo vya habari vinasema inawezekana Miguna Miguna ambaye ndiye alimuapisha Raila Odinga Kuwa Rais Alikamatwa na Polisi akiwa nyumbani kwake na kupelekwa kusikojulikana…
Mwanasheria anayemsimamia Miguna Katika kesi aliyofunguliwa na serikali aliiomba mahakama iwaamuru polisi kumleta Miguna Mahakamani kama bado yu hai, Mahakama ilitoa amri hiyo lakini polisi walishindwa kutekeleza. Wachunguzi wa mambo wanasema Kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Miguna Kuwa amefariki na Polisi inaogoma kusema ukweli kwa wanachi…
Post a Comment
Post a Comment