Kiongozi wa Upinzania nchini Kenya ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Miguna Miguna ameshtakiwa na kosa la uhaini baada ya kuhusika katika kuapishwa kwa, Raila Odinga.
Miguna kosa analotuhumiwa nalo Miguna ni kuhudhuria na kuidhinisha kiapo Odinga pamoja na kushiriki sherehe jambo ambalo ni kinyume cha sheria.
”Kwa mara nyengine serikali inakiuka haki za Miguna kwa kumsafirisha kutoka eneo moja hadi jingine bila ya kujulisha familia ama wakili wake.
“ Miguna yuko mikononi ,mwa polisi bila kujua pamoja na kwamba mahakama ya Nairobi ilielekeza kuwa aachiwe kwa dhamana ya Ksh. 50,000,” alisema Okero.
Post a Comment
Post a Comment