Wasanii wawili wa kike Pink na Chemical wameanza kufuata nyayo za wasanii wakongwe Roma na Stamina kwa kufanya kazi pamoja huku mashabiki wao wakitaka kufanya kazi kwao pamoja kusiishie katika wimbo huo mmoja tu bali waweze kufanya kazi nyingi ili kuleta mapinduzi ya muziki wa hip-hop ktiak atasnia hasa upande wa wanawake.
Wasanii hao wameonekana kuvutiwa na umoja wa wasanii hao na kusema kuwa hata wao wanaweza kufanya hivyo kwa sababu ni kitu kizuri kibiashara na kinasaidia kuwaleta mashabiki wote pamoja.
Post a Comment
Post a Comment