
Yaani usikuwa wa kumtambulisha Marombosso umezua mambo mengi sana ya ajabu, siri za watu zimefichuka na sasa ni hadharani, kwani Lulu Diva alikuwa anakataa kuwa hana mahusiano na Mavoko lakini kwa sasa hawezi pinga tena washafumwa mara nyingii hadi chumbani wakiwa wamelala pamoja hii hapo chini ni marudio tu makubwa yameshapita huko nyumba….!!
Post a Comment
Post a Comment