const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Diva Afunguka Kuhusu Ndoa.. na Mahusiano Ya Kimapenzi na Zitto Kabwe Soma HApa - HABARI MPYA

..

Diva Afunguka Kuhusu Ndoa.. na Mahusiano Ya Kimapenzi na Zitto Kabwe Soma HApa


Mwanadada akiyejipatia umaarufu kwa sababu ya sauti yake na kazi yake ya utangazaji kutoka Clouds Fm, Diva The Bawse amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hana mpnago wa kufunga ndoa wala kuwa na mahusiano anataka kupumzika kwanza.
Kuhusu mahusiano Yake Ya Na Zito Kabwe Alisema:
mahusiano nilikaa nayo kwa muda mrefu yalikuwa ni miaka mitano, na alikuwa ni zitto kabwe.he is a politician na ni plubic figure na ni mtu ameoa na ninaheshimu ilo kwaio siwezi kumzungumzia sana.
Diva the bawse amekuwa katika mahusiano na watu tofauti tofauti ikiwani pamoja na Mo-racka ,King Crazy Gk, Zitto Kabwe na sasa hivi ametoka kubreak-up na Heri Muziki ambae inasemekana kuwa alimpatia ujauzito lakini ulitoka kwa bahati mbaya,

Related Posts

Post a Comment