Taarifa iliyoripotiwa January 25, 2018 ni kuhusu King Majuto ambapo ilisemakana kuwa amelazwa Muhimbili, sasa Masoud aliyetoa taarifa hiyo ambaye ni Afisa habari wa Chama cha Waigizaji ameelezea kuhusu Majuto kukosa kitanda Muhimbili na kurudishwa nyumbani.
“Mzee wetu majuto anaumwa na anaumwa kwa muda mrefu tulifanya utaratibu wa kutoka kwakwe kuja dar ili kutibiwa muhimbili alitakiwa kulazwa ila tukapewa taarifa na madaktari kuwa vitanda vimejaa tukarudi saa nane usiku” Masoud
Jumanne ndo majibu yatatolewa kipi kinachomsumbua kwakuwa amepimwa mambo mengi.
Post a Comment
Post a Comment