const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Wolper Na Mpenzi Wake Nao Kimenuka Mbayaa, Ni Balaa Zitoo…!! Ndoa Ipo Juu Ya Mawe..!! Tazama Zaidi Hapo Ujionee - HABARI MPYA

..

Wolper Na Mpenzi Wake Nao Kimenuka Mbayaa, Ni Balaa Zitoo…!! Ndoa Ipo Juu Ya Mawe..!! Tazama Zaidi Hapo Ujionee


Wolper ambae haishiwi kwa vituko ameingia kwenye maneno tena baada ya kusemekaa kuna chini kwa chini kuwa amegombana na mwenza wake ambaye walikuwa wanatangaza kwa kiki kubwa kuwa wanataka kufunika mbayaa kwenye ndoa yao yaani ifanyike bongo na Marekani, sasa kuna uvumi kuwa Jamaa analalamika kuwa mbona hatoki tu kimuziki kipindi tayari ameshaachia ngoma…!!! Tazama Hapo chini ujionee

Related Posts

Post a Comment