Muigizaji wa Bongo movie Wema Sepetu amerudi tena kwenye vichwa vya habari huko kwenye mitandao ya kijamii kwani amekuwa akitrend tangu Jana usiku yote kwa sababu ya picha mpya. Wema ametupia picha hizo na video alizopiga kwa ajili ya fashion line inayoitwa Mac Couture ambayo Wema amefanya kazi ya kuwatangazia magauni yao.
Hizi ni baadhi ya picha na video zilizozua makubwa huko Instagram:
Post a Comment
Post a Comment