Featured Post

Aliyemuua mtoto wake bila kukusudia aachiwa huru

Na John Walter -Manyara Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imemuachia huru kwa sharti la kutokufanya kosa lolote ndani ya miaka miwili Bi Rahma Shabani  Hussein mwenye umri wa miaka 36 mkazi wa kitongoji  cha Kalangala kijiji cha Loiborsiret Wilayani Simanjiro kwa kosa la kumuua mtoto w…

Waziri Mhagama aagiza huduma za kijamii zilizoathiriwa na mafuriko Morogoro,Zirejeshwe

Na Mwandishi wetu-Morogoro Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uraribu Mhe. Jenista Mhagama ameagiza kurejeshwa kwa huduma zote za kijamii zilizoharibiwa na maji ya mvua kubwa iliyo…

Mtaturu ataja mambo manne yaliyomo kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameeleza mambo manne yaliyopendekezwa kwenye  miswada mitatu ya Sheria zinazodhamira kuleta mageuzi kwenye uchaguzi na kisiasa ikiwemo uwepo wa kamat…

Serikali yaipongeza First United kwa kuzindua Bima ya Takaful inayofuata misingi ya dini ya Kiislam

SERIKALI imeipongeza Kampuni ya Bima ya First United Takaful kwa kuanzisha huduma za kibima zitakazoweza kuchangia maendeleo ya uchumi wa Tanzania kwa ujumla pamoja na sekta ya fedha ya mwaka 2020 …

UWT waungana na Rais Samia kwenye vita ya udumavu,wapanda miti ya matunda shuleni kwa ajili ya lishe na kutunza mazingira

News Njombe Katika kuadhimisha miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi,Jumuiya ya Umoja wa wanawake wa Chama hicho wilayani Njombe umetumia maadhimisho hayo katika kupanda miti ya mat…

Chatanda awataka wabunge wanawake wa CCM kutimiza wajibu wao katika kuwatumikia wanawake na wananchi

Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amefanya Kikao na Wabunge wanawake wa CCM Nchi nzima lengo Likiwa ni Kuwasihi kuendelea kufanya kazi kwa kuwatumikia wanawake  na wanan…

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT aongoza zoezi la upandaji miti Makao Makuu JKT Dodoma

Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 60 Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa JKT Dkt. Stergomena Tax amewaongoza JKT katika zoezi…

RUNALI yajibu malalamiko ya wakulima wa korosho msimu wa 2023/2024

Na Ahmad Mmow, Nachingwea. Chama kikuu cha ushirika cha RUNALI kilichopo mkoani Lindi kimesema kimewalipa wakulima wa korosho waliouza kupitia minada nane kati ya tisa iliyofanyika katika nsimu…

Mradi wa EPIC wawajengea uwezo Wabunge.

Na Mwandishi wetu- Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imejengewa uwezo kuhusu  Mpango wa DREAMS unaotekelezwa na Mradi wa EPIC ambapo mpango huo unalenga katika kupung…

Matokeo ya Kidato cha Nne 2023-2024 Form 4 CSEE Results

Today, we are delighted to bring you a comprehensive guide on how to check the NECTA Matokeo ya Kidato cha Nne 2023/2024, which have been officially released. The National Examinations Council o…

Zaidi ya bodaboda 250 wapatiwa mafunzo ya usalama barabarani

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAENDESHA bodaboda zaidi ya 250 katika Jiji la Dodoma wamepatiwa mafunzo ya usalama barabarani kwa lengo la kuliepusha kundi hili dhidi ya ajali zinasababishwa na kut…

Kamati ya PAC yapokea utekekezaji wa Programu ya kukuza ujuzi kwa Vijana.

Na, Mwandishi Wetu - DODOMA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imepokea taarifa ya Programu ya kukuza Ujuzi wa Nguvu Kazi nchini inayotekelezwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu…
Newest Older