SERIKALI mkoani Njombe imetoa mwezi Moja kwa mkadalasi anayejenga mradi wa maji Lugalawa ili kukamilisha mradi huo na wananchi kuanza kupata maji mradi ulio chukua miaka zaidi ya mitatu badala ya mwaka mmoja unaohudumia wakazi wa kijiji Cha Lugalawa na vitongoji vyake wilayani Ludewa.
Kauli hiyo inatolewa na mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka wakati wa kilele cha wiki la maji duniani ambapo kimkoa yamefanyika wilayani Ludewa na kuweka jiwe la msingi katika mradi huo ambao unaendelea na ujenzi na kubakiza kitongoji kimoja kuanza kupatamaji.
Mradi huo uliogaramiwa na wananchi kwa kushirikiana na Benki ya dunia umegharimu zaidi ya Shilingi milioni 600 ambazo ni kujenga kuanzia kwenye chanzo cha maji na kusambazwa kwa wananchi mkuu wa mkoa anaweka jiwe la msingi kwa kuwatwika maji wakinamama.
Mkuu wa mkoa anaingiwa na wasiwasi kwa vituo ambavyo tayari vimeanza kutoa maji mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa na mkandarasi anayejenga mradi huo wanaitwa na wanaulizwa maswali huku mwenye kiti wa kijiji akitaka waweke wazi.
Wananchi nao wanasema kuwa licha ya kuchangia fedha zao lakini hawajapata maji tangu miaka waliyochangia pesa zao ambapo inadaiwa maji yanaishia polini.

Post a Comment
Post a Comment