const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); TzTown Tv: TIMU YA ZAMALEKI MSHINDI MBEYELA CUP NJOMBE - HABARI MPYA

..

TzTown Tv: TIMU YA ZAMALEKI MSHINDI MBEYELA CUP NJOMBE

Post a Comment
Kombe la keneth mbeye la mjini njombe limemalizika hapo jana kwa fainali kati ya timu ya zamaleki na timu yawajelajela Njombe magereza fc katika uwanjawa shule ya sekondari mpechi
Ligi hiyo iliyoshirikisha timu nane za mjini njombe iliyodumu kwa mwezi mmoja imebeba maudhui ya kumuenzi aliyekuwa katibu wa Shirikisho la Mpira Tanzania TFF hayati keneth mbeyela ambapo ni utamaduni wa familia ya mzeembeyela kumkumbukua kupitia michezo kila mwaka
TAZAMA ZAMALEKI WALIVYO KABIDHIWA KOMBE....................

Related Posts

Post a Comment