const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); TzTown Tv - HABARI MPYA

..

Showing posts with the label TzTown Tv

WALICHO KISEMA MADIWANI WATATU BAADA YA KUTOLEWA KWENYE BARAZA

Post a Comment

Madiwani watatu watolewa barazani, Njombe

Post a Comment

UJENZI STENDI KUU NJOMBE WAKWAMA

Post a Comment

MAONI MAHINDI KUUZWA NJE

Post a Comment

MKURUGENZI WA TAASISI YA HAGAFILOCOLLEGE OF DEVELOPMENT MANAGEMENT CODEM...

Post a Comment

VIDEO -MACHINGA WATOLEWA STANDI YA MKOA WA NJOMBE

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!! LIKE PAGE  YETU KWA  HABARI   ZAIDII
Post a Comment

VIDEO-MTAA WA KIHESA MKOANI NJOMBE KUJENGWA KITUO CHA AFYAA

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!! LIKE PAGE  YETU KWA  HABARI   ZAIDII
Post a Comment

TzTown Tv: 'DC Kasesela' WAKULIMA WAMEACHA KUUZA LUMBESASA SASA WANAWEKA KATOTO NI HASARA YA

ZAIDI ya asilimia 20 mpaka 30 ya mavuno ya viazi kwa gunia moja ndani ya msimu huwa ni hasara kwa mkulima kutokana na Lumbesa ambazo huwa zinafungaswa vijijini ambako wafanyabiashara wananunua viaz…
Post a Comment

TzTown Tv: Tazama alicho kisema makinda Eti wabongo wanamaneno

WATANZANIA wamedaiwa kuwa na maneno mengi na kukwamishwa maendeleo ya viwanda hapa nchini ukilinganisha na nchi za jilani kama Rwanda zilizopiga hatua katika maendeleo ya viwanda kutokana na ku…
Post a Comment

KIWANDA CHAKOSA MARIGHAFI NI CHA MAFUTA YA MIONZI

KIWANDA kinacho tengeneza mafuta ya kukinga mionzi ya Jua kwa watu wenye Ualbino cha Mjini Moshi kinakabiliwa na changamoto ya kupata marighafi kwaajili ya utengenezwaji wa Mafuta hayo ambayo yanag…
Post a Comment

TzTown Tv: KATA ZINAKOSA MAJI LICHA YA KUWAPO KWA VYANZO VINGI VYA MAJI MKOANI HUMO

LICHA ya kuwapo kwa vyanzo vingi vya maji mkoani Njombe bado baadhi ya kata zinachangamoto ya maji huku kukidaiwa mbinu za muda mfupi na kutatua changamoto kwa presha ni chanzo cha changamoto hiyo …
Post a Comment

TzTown Tv: SOKO LA KAHAWA NJOMBE LAPATIKANA BRAZIL

WAKAZI mkoani Njombe wamedaiwa kuvuna miti michanga kutokana na kuto kuwa na mazao ya kibiashara ambayo yanaweza kuendesha maisha wakati wakisubiri miti yao kukomaa kitu kinacho sababisha kuingiza …
Post a Comment

TzTown Tv: CHUMBA CHA UPASUAJI CHAJENGWA UWEMBA NI FARAJA KWA WAKAZI

WAKINAMAMA wakazi wa kata ya Uwemba halmashauri ya Mji Njombe wamesema kuwa wamekuwa wakifuata Mbali huduma za Upasuaji na wengine kujifungulia Njiani wakati wafufuata huduma hiyo huku baadhi yao w…
Post a Comment

TzTown Tv: SHAHIDI HULIPWA BAADA YA USHAHIDI TAZAMA VIDEO YA UFAFANUZI...

MAHAKAMA ya hakimu Mkazi Njombe imefanikiwa kuzimaleza kesi zake nyingi ndani ya miezi Chini ya 9 na huku zilizozidi muda mrefu ni miezi 12 ambazo zilifunguliwa Mwishoni mwa mwaka jana. Mikakati …
Post a Comment

TzTown Tv: POLISI NJOMBE WAWATIA MBARONI WATU 64 KWA UZURURAJI, ULEVI, USALAMA BARABARANI

JESHI la polisi Mkoani Njombe linawashikilia watu 64 wakiokamatwa katika msako wao wa wazururaji na wale wenye makosa mbalimbali katika stendi ya Mkoa wa Njombe na virabu vya mjini na kusababisha h…
Post a Comment

TzTown Tv: Tazama watoto wakieleza kilicho wapata baada ya kuzimia na nini kimesababisha wazimie

WAZAZI wa watoto wa shule ya Msingi Igola Halamashauri ya Mji Njombe wilayani na mkoa wa Njombe wamelalamikiwa kuwashawishi na kuwanyesha dawa watoto wao kuanguka kanakwamba wanamapepo ili kupata f…
Post a Comment

TzTown Tv: Marufuku kuharibu misitu ya asili

Serikali wilayani Njombe imepiga marufuku uharibifu wa misitu ya asili pamoja na vyanzo vya maji kutokana na kuwepo kwa baadhi ya wananchi wanaofanya shughuli za kilimo katikati ya misitu mikubwa n…
Post a Comment

TzTown Tv: Wazazi wikwazo kesi za ubakaji Njombe

MAAFISA ustawi wa jamii Mkoani Njombe wameiomba jamii kutoa ushirikiano pale kunapo kuwa na kesi mahakamani inayo husu mtoto ili haki kupatikana kwa wakati licha ya kudaiwa kuwa wazazi ndio vikwaz…
Post a Comment

LIVE............Mubashara Tazama Paulo Makonda akizungumza Live

Post a Comment

TzTown Tv: WAZAZI WATAKIWA KUWATOA WATOTO KWENYE NICHEZO

WAKAZI mkoani Njombe wametakiwa kuwafichua watoto wenye matatizo maalum wakiwemo wenye utindio wa Ubongo ili kushirika katika michezo ya watu wenye mahitaji maalum yanayo tarajia kufanyioka kitaifa…
Post a Comment