Mechi ya Yanga na Simba jana February 25 2017 ilikutanisha watu mbalimbali na hata wenye Nyadhifa za kisiasa kama Edward Lowassa, Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambao walikutana wakasalimiana.
Leo Ridhiwani Kikwete amepost picha ikimuonyesha uwanja wa taifa akionekana kumgusa Freeman Mbowe ili amsalimie ambapo kwenye caption ameandika “Kaka tusalimiane kidogo kwa afya ya Yanga”

ANGALIA VIDEO CHIDEO
Post a Comment
Post a Comment