const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Bodaboda Njombe wakutana na wabunge kujadili sheria kandamizi - HABARI MPYA

..

Bodaboda Njombe wakutana na wabunge kujadili sheria kandamizi

Post a Comment


MADEREVA wa pikipiki Mkoani Njombe maarufu Bodaboda wameamua kuwaita watunga sera na sheria mkoa wa Njombe kwa lengo la kuwashawaishi kubadilisha baadhi ya sheria za kodi ambazo haziendani na vyombo vyao.
Mkutano huo unaitishwa ukiwa na lengo la kuwakutanisha madeleva na wabunge wa mkoa wa Njombe na kuwaambia kuwa sheria ya ushuru wa Sumatra inapaswa irekebishwa kwa vyombo vyao, faini na makosa irekebishwe iendane na vyombo vyao.

Madereva hao wanapata nafasi ya kuketi na wabunge wao licha ya kuwapo mbunge mmoja na wengine kutuma wawakilishi wanasoma risala yao.
Ushauri unatolewa kutoka kwa wageni wa heshima juu ya maombi yao kwa serikali.

Hata hivyo mbunge wa Mkoa wa Njombe aliye hudhuria mkutano huo anasema kuwa atahakikisha anawasemea vijana hao wasaka tonge.
ANGALIA VIDEO CHIDEO

Related Posts

Post a Comment