const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); TzTown Tv: Wazazi wikwazo kesi za ubakaji Njombe - HABARI MPYA

..

TzTown Tv: Wazazi wikwazo kesi za ubakaji Njombe

Post a Comment
MAAFISA ustawi wa jamii Mkoani Njombe wameiomba jamii kutoa ushirikiano pale kunapo kuwa na kesi mahakamani inayo husu mtoto ili haki kupatikana kwa wakati licha ya kudaiwa kuwa wazazi ndio vikwazo katika keshi zilizo nyingi.

Wakizungumza na Startv Njombe maafisa ustawi wa jamii wanasema kuwa wamekuwa wakikumbana na changamoto mbalimbali wakati wa kutetea haki za mtoto aliye fanyiwa Ukatili.
Maafisa hawa wanasema kuwa wamekuwa wakipata shida kufika vijijini kupata ushahidi wa matukio hayo huku wakiitaka jamii kuahakikisha kuwa inatoa ushirikiano.

Mwanseria anakuwa ni moja ya washiriki katika kikao hiki na kukumbushama masuala ya kisheria na kusema kuwa changamoto kubwa kwa watoto wanao pata shida ni kupata ushahidi kutoka kwa wazazi na mpaka sasa tangu Januari ni kesi 10 pekee zimefika Makahamani.

TAZAMA VIDEO NA JUA NINI KINAKWAMISHA KESI ZA WATOTO KUMALIZIKA KWA WAKATI...........................


Related Posts

Post a Comment