WATANZANIA wamedaiwa kuwa na maneno mengi na kukwamishwa maendeleo ya viwanda hapa nchini ukilinganisha na nchi za jilani kama Rwanda zilizopiga hatua katika maendeleo ya viwanda kutokana na kuto kuwa na Maneno.
Kauli hiyo inatolewa na Spika mstaafu Anna Makinda kutokana na shirika moja kufanya kazi katika nchi mbili lakini hapa nchini kiwanda kimoja na hakijaaza kufanya kazi wakati nchi jilani Rwanda kuna viwanda wiwili tayari.
Hata hivyo inadaiwa kuwa Uwanja wa Ndege wa Songwe unamapungufu yake ambapo haupo rafiki kwa kilimo wakati ndio malengo ya uwanja huo.
Kauli hizo zinatolewa katika mkutano wa wadau wa kilimo katika korido ya kilimo ukanda wa nyanda za juu mwa kusini mwa Tanzania Sagcot ambapo wizari mbalimbali zinakutatizwa, wakulima, wafugaji na sekta binafsi na viwanda
TAZANA ALICHO KISEMA MAKINDA HAPA CHINI NI KUHUSU MANENO YA WABONGO............
ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!
Post a Comment
Post a Comment