const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Onyo la tsunami latolewa Japan baada ya tetemeko la ardhi - HABARI MPYA

..

Onyo la tsunami latolewa Japan baada ya tetemeko la ardhi

 


Msururu wa matetemeko ya ardhi yametokea nchini Japani siku ya kwanza ya mwaka mpya.


Shirika la Hali ya Hewa la Japan limeripoti matetemeko katika ufuo wa Ishikawa na wilaya za karibu, moja likiwa na nguvu ya 7.6.


Baada ya matetemeko hayo kutokea, onyo la tsunami limetolewa nchini Japan.


Kituo cha utangazaji cha umma cha Japani NHK TV kimeonya kuwa mawimbi ya maji yanaweza kufikia urefu wa mita 5 (futi 16.5) na kuwataka watu kukimbilia nchi kavu au juu ya majengo ya karibu haraka iwezekanavyo

Related Posts

Post a Comment