Na Timothy Itembe Mara.
Mwenyekiti CCM mkoa Mara msitaafu,Samweli Keboye maarifu namba Tatu amewataka viongizi waliomadarakani hususani baashi ya wabunge wa mkoani Mara BADALA yake wafanyakazi ya wananchi nwao waliowachagua.
Ndugu zangu baashi ya wabunge wa Mkoa Mara na viongozi wengine wanatumia mda wao wmongi majukwaani Kukaa kuwatukana viongizi wastaagu nikiwemo mwenyekiti mstaafu jambo Hilo halitavumilika.
Wakati akiongea na waandisho wa habari hotelini kwake MCN,Namba 3 alitumia nafasi hiyo kuwaonya viongizi hao akiwemo Mbunge wa Jimbo la Tarime vijijini Mwikwabe Mwita Waitara pamoja na Mbunge wa Jimbo la Rorya Jafari Chege na Mwenyekiti wa CCM.wilaya Rorya Ongujo Wakibara kuacha tabia ya kuwatukana viongizi wastaafu waliotangulia.
Namba Tatu amemtaka katibu wa CCM mkoa Mara,Ibrahimu Mjanaheri kuongoza vyema kwa sababu ameaminiwa na Rais kuja Mara kufanya kazi ya Chama na kuiwakilisha serikali ajiepushe na migogoro ya kisiasa ya watu Mkoa Mara na wilaya zake ambao wanamajungu.
Mstaafu huyo ametumia nafasi hiyo kumchambua Mbunge Waitara kuwa ni kiongozi anayevuruga Mkoa Mara huku akijigamba kuwa anambinu za kuwahamisha viongizi wanaopangwa kuja Tarime wakiwemo na wale wamkoa Mara.
"Viongizi wanaopangwa kujaTarime na mkoa Mara wengine wanateuliwa na Rais na kama niswala la kubadilishwa vituo na wengine kuhamishwa hilo niswala la kisheria Kwa mjibu wa katiba' na asitokee Moja anasema ana mamlaka ya kuwahamisha"alisema Namba Tatu.
Namba Tatu alitumia nafasi hiyo kutuma salamu Kwa mwenyekiti awa CCM mkoa Mara aliyepo,Patrick Chandi kufanya kazi aliyopewa na wananchi na asisikilize majungu ya viongizi kusema amewekwa mfukoni.
Kwa upande wa mbunge wa Jimbo la Tarime Mwita Waitara alipotafutwa kwanjia ya simu ya kiganjani alisema mambo hayo hayajui anayajua Namba tatu tukamuulize.
Naye Japhari Chege mbunge wa Rorya alipotakiwa kujibu malalamiko hayo alisema kwanjia ya ujumbe mfupi wa sms kuwa hataweza kujibu.
Post a Comment
Post a Comment