
Siku chache baada ya kutokea ajali mbaya ya basi lililoua wanafunzi zaidi ya 30, walimu wawili na dereva mmoja na kuwaacha wengine wakiwa majeruhi, hatimaye wasamaria wema kutoka Samaritan ya Marekani wametuma ndege maalum kuwachukua watoto hao na kuwapeleka Marekani kwa ajili ya Matibabu.
Post a Comment
Post a Comment