const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Waziri Kigwangalla Amehairisha Mkutano wa Kuwataja Wanaohusika na Mapenzi ya Ushoga - HABARI MPYA

..

Waziri Kigwangalla Amehairisha Mkutano wa Kuwataja Wanaohusika na Mapenzi ya Ushoga

Naibu Waziri Kigwangalla ameahirisha mkutano wa waandishi wa habari alipotegemewa kutaja wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Dkt Kigwangalla amesema kuwa ameshindwa kufanya mkutano huo na kuwataja mashoga hao wanaojiuza mtandaoni kutokana na sababu za kiufundi.
Mnamo tarehe 6 mwezi Februari Naibu Waziri huyo alimtaka kijana anayefahamika kama James Delicious kufika kituo cha Polisi kwa kujitangaza kuwa ni Shoga. - #regrann
ANGALIA VIDEO CHIDEO

Related Posts

Post a Comment