const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); TANZIA: Bongo Movies Wapata Pigo la Kuondokewa na Mmoja wao - HABARI MPYA

..

TANZIA: Bongo Movies Wapata Pigo la Kuondokewa na Mmoja wao

Muigizaji kijakaz pazi shabani (ZAMZAM) Amefariki jana mkoani kigoma

Mwili wake unasafirishwa kuja mkoani Dar city
Msiba upo Sokota karibu na sheli. Temeke
Kwa wale.waliomsaau alikuwa kundi la kidedea alicheza tamthilia ya mchezo wa kidedea yeye na marehemu Tabia baba yao alikuwa mzee jengua,
Nawaomba wasanii wote tujumuike kwa pamoja kwenye msiba tukawafariji wafiwa

Taratibu za mazishi tutataarifiana

Related Posts

Post a Comment