Showing posts with the label
kimataifa
Waziri wa Kazi wa Lesotho,Keketso Rantso akikagua shamba moja la kilimo cha bangii, Gunia moja la mahindi huuzwa Tsh.50,000 wakati gunia la bangi hufika mpaka Milioni 20, Ameongezea zao hilo hali…
Mvuvi huyu nchini Somalia anaonekana akiwa amembeba papa mkubwa ambaye alimvua baharini. Anaelekea katika soko la samaki la Hamarweyne karibu na mji mkuu wa Mogadishu. Ijumaa, msichana akitembe…
Mwanamume mmoja katika jimbo lililo mashariki mwa India, amejenga barabara ya umbali wa kilomita 8 akitumia sururu ili kuwawezesha watoto wake kupitia wakitoka shuleni. Jalandhar Nayak, 45, ana…
Baba mmoja katika mji wa Coimbatore nchini India ameiteketeza familia yake kwa kuichoma moto akikwepa kulipa deni la Shilingi 4,300/= za kitanzania. Miili mitatu ya familia iliyoungua kwa moto ik…
Leo Septemba Mosi Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa huku ya kesi ya uchaguzi iliyokuwa imefunguliwa na Muungano wa NASA kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta kwa madai kuwa uchag…
Rais Uhuru Kenyatta amelihutubia taifa muda mchache uliopita ikiwa ni mara ya kwanza tangu Mahakama ya Juu nchini Kenya ilipotangaza kubatilisha matokeo ya uchaguzi wa Agosti 8 yaliyompa ushindi. …
Jeshi la polisi nchini Pakistan linawatafuta wajumbe 20 wa Baraza la kijiji cha Raja Ram katika mji wa Muzaffarabad nchini humo ambao walitoa amri ya kubakwa kwa dada wa kaka aliyembaka msichana wa…
Mwanzilishi wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos amempita Bill Gates na kuwa tajiri namba moja duniani akimiliki utaji wa dola za kimarekani 90.6 bilioni (Tsh 203 trilioni). Kupanda wa hisa za …
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa orodha ya programu ambazo mwanafunzi anayetaka kujiunga na chuo chochote kwa mwaka wa masomo 2017/18 anaweza kuomba, lakini pia kuna baadhi (75) amba…
California, Marekani. Mwigizaji John Heard aliyejizolea umaarufu kwa kuigiza kama baba katika filamu za Home Alone, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72. Mwili wake aligundulika na mhudu…
Labda una ndoto za kuwa mtayarishaji wa filamu mbalimbali hapo baadaye, au siyo? Au unataka kuweka rekodi kwa kutengeneza filamu …