const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Buhembe, Kagera: Binti amnyonga mtoto wake aliyejifungua siku tatu zilizopita kisha kumzika - HABARI MPYA

..

Buhembe, Kagera: Binti amnyonga mtoto wake aliyejifungua siku tatu zilizopita kisha kumzika

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Binti mmoja anayeishi mtaa wa Ntungamo Kata ya Buhembe, Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Latifa Vedasto anadaiwa kumnyonga mtoto wake aliyejifungua siku tatu zilizopita na kisha kumzika

Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi linamshikilia binti huyo mwenye umri wa miaka kumi na minane kwa uchunguzi zaidi baada ya kufukua shimo alilokuwa amezikwa kichanga huyo.

Chanzo: TBC habari

Related Posts

Post a Comment