Ni Busara za Spika Ndugai kutenganisha viti kulingana na uwiano wa wabunge bungeni.
Kitu kama hicho hakikuwahi kufanywa na Marehemu Sitta wala Mama Ana Makinda.
Maspika waliopita waliwajaza wapinzani wote kwenye kapu moja, yaani Chadema,CUF,NCCR na ACT wote wangepigiwa kura kwa pamoja bila kujali wingi wao bungeni.
Sasa je, Chadema hapo wangepata hata hivyo viti Viwili..?
Mkumbuke bunge la Afrika Mashariki kanuni zao hazitambua chama ila uwakilishi wa upinzani ndani ya Bunge...
Hivyo hata wakienda ACT ni sawa tu ilimradi ni wapinzani.
Na hii nahisi ilikuwa ni fadhila kwenu baada ya kumlilia sana akiwa nje kwa matibabu...
Chadema waambieni ukweli wafuasi wenu bunge lililopita ulitumika utaratibu gani kuwapata wabunge wa upinzani kwenda bunge la Afrika Mashariki...?
Post a Comment
Post a Comment