JPM kakutana na Balozi wa EU na kusaini makubaliano ya kupewa msaada wa £205M (takribani shilingi Bilioni 500) kwa miaka5; lakini kwa masharti. JPM amesaini na kukubaliana na masharti hayo ambayo ni;
1. Kuhakikisha uhuru wa habari na uhuru wa kutoa mawazo
2. Kumaliza mkwamo wa kisiasa Zanzibar
3. Kuguarantee uhuru wa asasi za kiraia
4. Kukomesha tabia ya vyombo vya dola (coersive apparatus) kuwatia nguvuni wabunge.
Post a Comment
Post a Comment