const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); ShyRose Bhanji Amvua Nguo Rais Magufuli..Adai Alimfanyia Ubabe kwenye Kamati Kuu..!!! - HABARI MPYA

..

ShyRose Bhanji Amvua Nguo Rais Magufuli..Adai Alimfanyia Ubabe kwenye Kamati Kuu..!!!

Katika Hali ya Kuonyeshwa kuwa hakuridhishwa na jina lake kukatwa na kamati kuu ya chama cha mapinduzi katika kuwania ubunge wa bunge la jumuiya ya afrika mashariki,Aliyekuwa Mbunge wa Bunge Hilo Kutoka Tanzania Shyrose Banji amefunguka Makubwa ya kushangaza.

Kupitia Ukurasa wake wakijamii wa instagram ,Shyrose ameonyesha kukerwa na kile alichokiita ni ubabe wa Mwenyekiti wa CCM,Rais Dk John Magufuli,ambapo kwa madai yake anasema kuwa Lilipofika jina lake,Rais Magufuli Alisema Kuwa Hataki hata kulisikia tupa kule.
Zaidi ni Hivi Alivyoandika katika ukurasa wake huo.

"Kwa habari nilizoziskia ni kwamba Mwekekiti wa Chama Rais JPM katika kikao cha CC ilipofikia jina langu kujadiliwa akasema: "Huyu wala sitaki tumjadili sitaki hata kumsikia" Naambiwa wajumbe kama wanne walinyoosha mkono lakini akawakatalia na kusema mjadala umefungwa #FullUbabe CC @hpolepole"
Tazama video Mtoto amvua kofia
 Papa Francis

Related Posts

Post a Comment