const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Jinsi Mababu Zetu Walivyotumia Njia ya Kiini Macho Kuongeza Ukubwa na Urefu wa Maumbile ya Kiume..!!!! - HABARI MPYA

..

Jinsi Mababu Zetu Walivyotumia Njia ya Kiini Macho Kuongeza Ukubwa na Urefu wa Maumbile ya Kiume..!!!!



Suala la udogo wa maumbile ya kiume lipo tangu enzi za mababu zetu. Enzi za mababu zetu, suala la udogo wa maumbile ya kiume lilikuwa linatibiwa kwa kutumia njia kuu mbili. Njia hizo ni kama ifuatavyo :

1. KUCHANJIWA AMA KUNYWESHWA DAWA YENYE KUONGEZA UKUBWA WA MAUMBILE

Hapa mwanaume mwenye tatizo la kuwa na maumbile madogo ya kiume alichanjiwa au kunyweshwa dawa ya asili yenye uwezo wa kurefusha na kuongeza urefu na ukubwa wa maumbile ye kiume. Kama iligundulika kuwa, tatizo la mwanaume husika lilitokana na mkono wa mtu ( kurogwa ), basi zoezi la kumchanja au kumnywesha dawa mwanaume huyo lilienda pamoja na tambiko maalumu la kuua nguvu ya uchawi ulio tumika kufunga ukuaji wa maumbile ya kiume ya mwanaume huyo

Sababu zilizo wafanya watu wawafunge watoto wa kiume au wanaume maumbile yao yawe madogo ni pamoja na ; Kwenye ndoa za mitaala, mke anawafunga watoto wa kiume wa mke mwenzake ili waishie kuwa na maisha yenye mateso na mahangiko ( SIKU NYINGINE NITAELEZEA JINSI WATOTO WA KIUME NA WANAUME WANAVYO FUNGWA KUWA NA MAUMBILE MADOGO YALIYO SINYAA )

Mwanamke anamfunga mwanaume aliye mkataa nakadhalika. Sababu ni nyingi sana.
Kwa bahati nzuri, nimeshaelezea jinsi na namna ya kuongeza na kurefusha ukubwa wa maumbile ya kiume kwa njia ya kuchanjia au kunywa dawa.

Leo nitaelezea kuhusu njia ya pili, ambayo ni KUONGEZA UREFU NA UKUBWA WA MAUMBILE YA KIUME KWA NJIA YA KIINI MACHO. Njia hii haijulikani na watu wengi.

Tiba hii hutumiwa na mtu ambaye amethibitika kuwa suala la udogo ama ufupi wa maumbile yake ya kiume, unatokana na maumbile ya asili. Yaani amerithi vinasaba vya maumbile yake kutoka kwa wazazi wake na wala hajarogwa na mtu yoyote.

Njia hii hutumiwa na magwiji wa tiba za jadi tangu enzi za mabibi na mababu wa mababu, leo nitaielezea kwa ufupi.

JINSI YA KUONGEZA UKUBWA NA UREFU WA MAUMBILE YA KIUME KWA NJIA YA KIINI MACHO

Kiini macho ni uchawi unao tumika kufunga na kuyamiliki macho ya mtu pamoja na kuyaelekeza ama kuyaamuru yaone na kuamini kile ambacho wewe unataka yakione na kukiamini.

Katika tiba hii, mwanaume anachanjiwa dawa kwenye uume wake pamoja na sehemu nyinginezo za mwilini mwake kwa lengo la kuyafunga, na kuyaamuru macho na akili ya mwanamke atakae kutana nae faragha kumuona kama mwanaume mwenye maumbile makubwa ya kiume.
Kabla ya mwanaume kuchanjiwa dawa hii, kwanza unaandaliwa huo uchawi wa kiini macho.

JINSI UCHAWI WA KIINI MACHO UNAVYO TENGENEZWA.

Anachukuliwa paka mweusi aliye asi nyumbani ( Paka wa aina hii katika ulimwengu wa wachawi huwa wanajulikana kama “ KIMBURU” , paka huyo anapelekwa njia panda saa sita za usiku, kisha anatobolewa macho, halafu kwenye macho yake zinawekwa mbegu za mti wa mnyonyo.

Baada ya hapo, litachimbwa shimo , kisha paka huyo atazikwa humo.

Huyo paka akisha zikwa , litaanza zoezi la kumwagilizia sehemu aliyo zikwa paka huyo. Eneo hilo litakuwa linamwagiliziwa mara saba kwa siku, asubuhi mara tatu, mchana mara mbili na usiku mara tatu.

Eneo hilo litamwagiliziwa hadi uote mti wa mnyonyo na kukomaa.

Mti wa mnyonyo ukishaota na kukomaa , itachukuliwa ile mizizi ya huo mnyonyo na kupondwa pondwa pamoja na dawa ya asili inaitwa nkwesi.

Zoezi la kuponda ponda hiyo mizizi ya mnyonyo pamoja na hizo nkwesi likikamilika, mhusika ataenda kwenye eneo lenye mkutano au onyesho lolote kisha atachukua uchafu au takataka za eneo hilo wakati watu hao wakiwa bize wanasikiliza mkutano, atazichoma hadi ziwe unga unga.

Baada ya hapo atachanganya dawa hizo nilizo zitaja mwanzo,yaani mizizi ya mnyonyo na nkwesi pamoja na madawa mengine ya asili.

Zoezi la kuchanganya mizizi ya mnyonyo iliyo sagwa pamoja na kwesi , takataka & uchafu uliochukuliwa kwenye mkutano na kuchomwa pamoja na dawa nyingine za porini, litafuata zoezi la kuchinja punda.

Watachukuliwa punda saba (YOTE MADUME YALIYO KOMAA ), Punda hawa watachinjwa kwa tambiko rasmi. Punda hawa watachinjwa kwa muda wa siku saba mfululizo, kila punda mmoja atachinjwa kwa siku moja.

Kila punda atakae chinjwa, itachukuliwa DHAKARI yake ama uume wake kwa wale wasio elewa dhakari maana yake nini, dhakari za hawa punda zitaunganishwa zote kwa pamoja, zitachanganywa na majivu ya kondoo mweusi aliye pita duniani bila kuonekana, utukakanga wa baharini au wa porini pamoja na dawa nyingine za porini.. Baadae litafanyika tambiko rasmi la kuchanganya dawa ama vizimba vyote nilivyo vitaja hapo hapo juu.

Dawa hii watapewa wanaume wenye tatizo la maumbile mafupi na madogo ya kiume, watajichanja wenyewe katika maeneo Fulani Fulani mwilini huku wakitamka maneno Fulani 

Basi kila mwanamke atakae kutana na mwanaume huyu ataenda kusimulia, kwa wenzake kuwa amekutana na mwanaume wa ukweli na anae ijua kazi ambayo iliwaleta wanaume duniani.


Related Posts

Post a Comment