const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); VIDEO: MELANIA TRUMP HUTOA TABASAMU FEKI AKIANGALIWA NA MUMEWE - HABARI MPYA

..

VIDEO: MELANIA TRUMP HUTOA TABASAMU FEKI AKIANGALIWA NA MUMEWE


Imezoeleka watu wa familia moja kufurahia mmoja wa wanafamilia wenzake anapopata ushindi wa aina fulani, bila kujali udogo au ukubwa wa ushindi wenyewe.

Hali hii ilionekana kuwa tofauti kwa familia ya Rais wa Marekani, Donald Trump kwakuwa mkewe, Melania alinaswa na kamera akiwa “amenuna” muda wote isipokuwa akiangaliwa na mumewe ambapo alijilazimisha “kufeki” tabasamu – na Trump alipogeuka – mkewe aliendelea na hali yake aliyokuwa nayo awali – KUNUNA!

Tazama hapa video iliyomnasa mke wa Melania Trump siku ya kuapishwa kwa mumewe, Donald Trump kuwa Rais wa Marekani:

Related Posts

Post a Comment