const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); LIVERPOOL YAPOKEA KICHAPO ANFIELD NA KUTOLEWA FA CUP - HABARI MPYA

..

LIVERPOOL YAPOKEA KICHAPO ANFIELD NA KUTOLEWA FA CUP

Liverpool imelala nyumbani kwa kukubali kichapo cha goli 2 – 1 katika kinyang’anyiro cha FA Cup nchini Uingereza. Liverpool imepokea kichapo hicho kutoka kwa Wolves. Liver walioneka hawakuwa mchezoni tangu mapema kwa kukubali gola la mapema kabisala sekunde ya 53 katika mchezo huo kisha kufungwa goli la pili kabla ya timu hizo kwenda mapumziko. Hiki ni kichapo cha tatu Liverpool wanakipokea katika uwanja wao ndani ya wiki moja na kimeifanya timu hiyo kongwe katika soka kutolewa katika mashindano hayo ya kombe la FA.

Wapinzani wa Liverpool katika Premier League wamefanikiwa kuondoka na ushindi mnono katika mechi zao za leo. Man City wameitandika Crystal Palace goli 3 – 0, Chelsea wakaifunga Brentford magoli 4 – 0 na wahika bunduki wa Emirates, Arsenal walikuwa na karamu ya magoli baada ya kumaliza mechi kwa kushinda goli 5 – 0 dhidi ya Southampton.

Tazama picha hii kwa muhtasari wa michezo ya leo kombe la FA.

Related Posts

Post a Comment