const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Rais wa zamani wa Chad kukata rufaa - HABARI MPYA

..

Rais wa zamani wa Chad kukata rufaa


Habre alihukumiwa kifungo cha maisha jela

Mawakili wa rais wa zamani wa Chad Hissene Habre, wanatarajiwa kukata rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha maisha kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu uliotokea wakati wa kipindi cha utawala wake miaka ya themanini.

Haijulikani ikiwa bwana Habre atahitajika kufika mahakamani yeye binafsi kwenye mji mkuu wa
Hukumu yake ya mwezi May ilionekana kama ushindi mkubwa dhidi ya ukwepaji sheri

unaoshuhudiwa miongoni mwa viongozi dhalimu wa nchi za Afrika.

Inakadiriwa kuwa hadi watu 40,000 waliuawa nchini Chad wakati wa uongozi wa raia Hissein Habre huku maelfu wakibakwa na kuteswa.

Kusikilizwa kwa rufaa kunatarajiwa kuchukua siku kadha.

Related Posts

Post a Comment