const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); PICHA: MLINZI WA TRUMP ALIVAA MIKONO BANDIA KUFICHA BUNDUKI - HABARI MPYA

..

PICHA: MLINZI WA TRUMP ALIVAA MIKONO BANDIA KUFICHA BUNDUKI



Mitandao ya kijamii imesambaza habari kuwa mmoja wa walinzi wa Rais Donald Trump alivaa mikono ya bandia, huku mikono yake halisi ikiwa imeshikilia kitufe cha kufyatulia risasi ya bunduki aliyoificha kwenye koti alilovaa.

Akijidai kushika kidole chake wakati Trump na mkewe walipotembea mitaa ya Pennsylvania

Maneno haya yaliibuka baada ya kuchunguza video wakati Rais Trump, mkewe na mwanae walipotembea katika mitaa ya Pennsylvania baada ya kuapishwa kwake.

Familia ya Trump ilizungukwa na jeshi la walinzi waliovalia suti rasmi.


Hapa vilevile yupo kwenye pozi hilohilo. Swali ni kuwa je, ni mikono bandia kweli au ni halisi? Je mkono wake halisi umeshika bunduki?

Lakini mmoja wao ndio aliyechambuliwa katika video hiyo kwa sababu mikono yake ilikuwa imekakamaa na ilikuwa sehemu moja tu kwa muda mrefu.

Nadharia ya kwamba alikuwa ameshika bunduki iliibuka baada video kumuonesha akiwa anatumia mikono yake.


Kadri Rais alivyokuwa akitembea na kupungia wananchi, mlinzi huyu (kulia) aliendelea kuweka mikono yake katika pozi hilohilo ingawa macho aliyapepesa

“Akijidai” kufunga koti lake kwa mikono yote miwili

Katika video hiyo ya siku ya kuapishwa kwa Trump, mlinzi huyo mwenye upara alionekana kupepesa macho muda wote akiangalia watu waliofurika barabarani kuona kama kuna dalili yoyote ya hatari, lakini mikono yake haikusogea kabisa.

Angalia hapa video yenyewe:

Related Posts

Post a Comment