const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); PICHA 6: WEMA SEPETU ARUDI INSTAGRAM KWA KISHINDO BAADA YA KUFUTA PICHA ZAKE ZOTE - HABARI MPYA

..

PICHA 6: WEMA SEPETU ARUDI INSTAGRAM KWA KISHINDO BAADA YA KUFUTA PICHA ZAKE ZOTE


Mrembo mmoja kutoka nchini Tanzania anayegonga vichwa vya habari vya burudani na udaku mara kwa mara, wakati huu amekuja kivingine huku akiwaahidi mashabiki wake mambo mazuri baada ya kupotea kwa muda.

Wema Sepetu ambaye kipindi cha nyuma alifuta picha zake zote kwenye mtandao wa Instagram amerudi tena na kuanza kuweka picha zake huku akiwaahidi mashabiki zake kuwa wategemee mambo makubwa kutoka kwake.

Wema Sepetu hakueleza sababu za kuamua kufuta picha zake kwenye ukurasa wake wa Instagram lakini baadhi ya watu wamekuwa wakidai kuwa ni njia tu ya kutakak kiki.

Hapa chini ni picha sita za Wema Sepetu baada ya kurudi Instagram.


Related Posts

Post a Comment