const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); burudani - HABARI MPYA

..

Showing posts with the label burudani

Aslay Atuzwa Minoti Kibao Escape One Hadi Ashindwa Ibebea Angalia Hapa

Msanii wa ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka, akitoa burudani Usiku wa Wapendanao ndani ya Ukumbi wa Escape One uliopo Mikocheni usiku wa kuamkia leo. Alitunzwa pesa nyingi sana kweli ni kipenzi cha w…

Shoo ya Papii Kocha Escape One Baada ya Miaka 14 Kupita (Picha na Video)

Mwanamuziki Johnson Nguza maarufu kama Papii Kocha akiongea na umati uliofika Ukumbi wa Escape One uliopo Mikocheni Usiku wa kuamkia leo. Baada ya miaka 14 kupita, mwanamuziki Johnson Nguza…

Maneno Ya Harmonize baada Ya Zari Kumuacha Diamond Yafichua siri Nzito Kumbe ndo mchezo wao

February 14, 2018 mitandao ya kijamii ilichangamka sana baada ya post ya mzazi mwenza na Diamond Platnumz, Zari the Boss Lady kupost ua na ujumbe mzito wa kuachana na Diamond kitu ambacho baadae …

Diamond afunguka kuwa hana tatizo na baba yake, Asema penye kumsaidia anafanya hivyo

Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameweka wazi kuwa kwa sasa hana tofauti yoyote na baba yake mzazi (Mzee Abdul) kwamba wanaongea na kwamba anapohitajika kusa…

Hatimaye WCB Wafunguka Kuhusu Rick Ross Kumblock na Kufuta Picha Za Diamond

Kutoka Maybach Music, Rapa maarufu wa Marekani ‘Rick Ross’ amefuta picha zote za Diamond Platnumz alizowahi kupost katika ukurasa wake Instagram . Rapper huyo ambaye pia ameshirikishwa kat…

WASIFU WA MWANAMUZIKI WA TANZANIA, ALI SALEH KIBA (ALIKIBA)

Alikiba ni miongoni mwa wasanii wakubwa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hapa nyumbani Tanzania, amekuwa akishindanishwa sana na Diamond Platnumz. Pia, amejitahidi na kuweza kutoshuka katika mu…

Jipu Pwaah! Siri Yafichuka Ndoa Ya Wolper Na Engine Angalia Video Hapa

MPENZI mpya wa staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper, Sadiki Athanas Sanga ‘Engine’, ambaye walikuwa wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni Siri Kubwa imefichuka sababu ya wapenzi hao…

Siri Yafichuka Kwanini WCB Wanamtenga Sana Rich Mavoko Soma Hapa

Ukiangalia kwenye mambo mengi jamaa huwa hawaambatani naye,halafu ukitazama kwa wasanii wote wa Lebel ya WCB wako approved na instagram kuwa zile ni real accont zao ila sembuse yeye shida nini? …

Wizkid ashangazwa na bei ya midoli ya ng0no ‘Sexi Dolls’ Alipoenda Nunua Wakwake Soma Hapa

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid ameshangazwa na bei ya midoli ya ngono ‘Sex Dolls’ ambapo amesema kuwa bei ya midoli hiyo ni kubwa kulikuwa hata gharama ya kununua wanawake wanaojiuza yaa…

Download Audio: Heri Muziki Ft. Mr Paul & Mwana FA – Waambie

download mp3

VIDEO: Lava Lava – Utatulia

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Jo…

Ijawahi Tokea “Diamond anamiliki nyumba 29 hii ndiyo nyumba ya gharama sana” Angalia Video Hapa

Dalali Skoba ambaye amemtafutia Diamond Platnumz mjengo ambao amenunua amezungumza na kusema kuwa Diamond anamiliki nyumba 29 na kati ya nyumba hizo hii ndiyo nyumba yenye gharama kubwa zaidi al…

Ben Pol Aibukia Nchini India, Azua Balaa Zito Kwa Wahindi….!!

Msanii Ben Pol amewashtua mashabiki baada ya kuonekana kuna picha yuko na wahindi India ambayo imewachanaganya mahabiki je? ni kweli yupo India na kama yupo kuna kazi ambayo anaifanya?? Mashabiki…

HII NDIYO NCHI LIYOPANGA KUTIMKIA MSANII ALIYEFUNGIWA KWA KUWEKA PICHA ZA UTUPU MTANDAONI

Baada ya kupewa adhabu ya kufungiwa kujihusisha na shughuli za sana kwa muda wa miezi sita na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, msanii Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amesema kuwa ana mpang…

Imevuja: Maromboso yuko Kwenye Penzi zito na Queen Darlin Dada wa Bosi wake Diamond

Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika. Msemo huu umethibitishwa na couple inayokuja kwa kasi kati ya Queen Darlin na Maromboso . Mboso alijitahidi sana kuficha ficha lakini …

ANGALIA SIRI 6 ZA WANAWAKE AMBAZO KAMWE HAWEZI KUKUAMBIA

1 . Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kuna…

ANGALIA SABABU ZINAZOPELEKEA WAPENZI WEGI KUCHOKANA MAPEMA

Hivi uliwahi kujiuliza hivi ni kwanini baadhi ya mahusiano ya kimapenzi hufa mapema, kama si kufa basi kushuka kwa mahusiano hayo? Moja kati ya sababu ambayo husababaisha kufa kwa mahusiano ni ile …

Magazeti ya Tanzania leo Nov. 15 Udaku, Michezo na Hardnews

Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo November 15 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

MTAZAMO WA RICH MAVOKO BAADA YA DIAMOND KUTOA FRESH REMIX

Msanii wa Bongo Flava kutoka label ya WCB, Rich Mavoko ametoa mtazamo wake baada ya watu wengi kumtupia maneno Fid Q kwa kile walichodai amemruhusu Diamond kutupa vijembe kwa Alikiba kupitia ngoma …

PICHA ZA UTUPU ZAMPONZA AMBER LULU AHOJIWA KWA SAA KADHAA NA POLISI

Jioni ya jana, mwanadada maarufu ambaye anatumiwa na wanamuziki nchini kupendezesha video za nyimbo zao ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongofleva, Amber Lulu jana alifikishwa kwenye kituo cha po…