const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); SIMANZI: MCHEZAJI WA KAGERA SUGAR AFARIKI DUNIA LEO - HABARI MPYA

..

SIMANZI: MCHEZAJI WA KAGERA SUGAR AFARIKI DUNIA LEO


Tansia ya mchezo wa soka imekumbwa na majonzi makubwa baada ya David Buruhan, aliyekuwa mlinda mlango wa Kagera Sugar na mtoto wa mshambuliaji wa zamani wa PAN, Abdallah Buruhan kufariki dunia leo Hospitali ya Bugando Mwanza.


Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa, Buruhan aliugua ghafla wakiwa njiani kuelekea Singida kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam.

Aidha waliporejea mkoani Kagera hali ya mlinda mlango huyo ilizidi kuwa mbaya na hivyo kukimbizwakatika Hospitali ya Bugando kwa matibabu zaidi.


Mbali na kuichezea Kagera Sugar, David Buruhan amewahi pia kuwa mlianda mlango wa Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya.

Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakimfariji kipa wa Mbeya City David Buruhan Oktoba 2014.


Related Posts

Post a Comment