const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); MAHAKAMA YAFUTA KESI YA KICHOCHEZI DHIDI YA KUBENEA - HABARI MPYA

..

MAHAKAMA YAFUTA KESI YA KICHOCHEZI DHIDI YA KUBENEA

Leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam imefuta kesi ya kuchapisha habari ya kichochezi iliyokuwa inamkabili Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Mh. Saeed Kubenea. Kubenea alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shitaka hilo Oktoba 4, 2016.

Wakili kwa upande wa Jamhuri, Derrick Mukabatunzi alisema kuwa Julai 25, 2016, mtuhumiwa alichapisha habari ya kichochezi katika gazeti la “Mwanahalisi” toleo la Julai 25, 2016 yenye kichwa cha habari “Yuko wapi atakayeiokoa Zanzibar” ingeweza kuzua mshikuto na kusababisha uvunjifu wa amani.

Katika kesi hiyo, Mh. Kubenea alikana shitaka na kuachiwa huru baada ya kukidhi vigezo vya dhamana.

Related Posts

Post a Comment