const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); INSTAGRAM: DIAMOND PLATNUMZ ‘AMTANDIKA’ IDRIS SULTAN - HABARI MPYA

..

INSTAGRAM: DIAMOND PLATNUMZ ‘AMTANDIKA’ IDRIS SULTAN


Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa staa wa Bongo, mshindi wa shindano la Big Brother Africa mwaka 2014 ambaye pia ni anajihusisha na vichekesho vya jukwaani (stand up comedy) ambapo ametimiza umri wa miaka 24.

Miongoni mwa watu wengi waliojitokeza kumtakia heri Idris ni staa mwenzake, msanii wa Bongofleva, Diamond Platnumz. Diamond kupitia akaunti yake ya Instagram siku ya jana alipost picha ya mwanadada Linah Sanga ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongofleva na kisha chini ya picha hiyo akaandika maneno: “Happy birthday Idris Sultan,” akiwa anamtakia swahiba wake huyo kila la heri katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Wachangiaji wengi wameonekana kufurahishwa na post hiyo kwa kumwambia Idris kwamba “amewezwa” kwakuwa imezoeleka sana kumuona yeye akiwatania wengine, ila kwa jana kibao kiligeuka.

Idris alishindwa kukaa kimya baada ya kuona post hiyo na akamjibu Diamond. Tazama picha kusoma alichokisema.
WhatsApp Image 2017-01-29 at 13.56.09

Related Posts

Post a Comment