const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); AUDIO: ALIYEKUWA MISS TANZANIA ATOA WIMBO WAKE. USIKILIZE HAPA - HABARI MPYA

..

AUDIO: ALIYEKUWA MISS TANZANIA ATOA WIMBO WAKE. USIKILIZE HAPA


Mrembo aliyeshinda taji la Mrembo wa Tanzania (Miss Tanzania) mwaka 2010, Genevieve Emmanuel amekuja kivingine baada ya kuingia kwenye tasnia ya muziki. Januari 26 mwaka huu Genevieve ameachiwa wimbo wake wa kwanza unaokwenda kwa jina la Nana. Wimbo huu umetayarishwa na Luffa.

Related Posts

Post a Comment