const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); ALIYEKUWA KOCHA MKUU WA TAIFA STARS ACHAGULIWA KUWA KATIBU MKUU YANGA - HABARI MPYA

..

ALIYEKUWA KOCHA MKUU WA TAIFA STARS ACHAGULIWA KUWA KATIBU MKUU YANGA


Aliyekiwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amechaguliwa leo kuwa Katibu Mkuu wa klabu ya soka ya Yanga yenye makazi yake Jangwani jijini Dar es Salaam.

Kiongozi huyo anatarajiwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha miaka miwili.

Akizungumza baada ya uteuzi huo, Mkwasa alisema kuwa “Nimekuja Yanga Sc kufanya muunganiko kati ya waalimu na Sekretarieti na pia sina nia yeyote ya kurudi kwenye kiti cha kufundisha kwenye klabu ya Yanga SC kwani sina shaka yeyote juu ya walimu waliopo kwenye benchi la ufundi”

Aliyekuwa akishikilia nafasi ya Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit atarejea katika nafasi yake ya awali ya utunza fedha.

Related Posts

Post a Comment