MPENZI mpya wa staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper, Sadiki Athanas Sanga ‘Engine’, ambaye walikuwa wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni
Siri Kubwa imefichuka sababu ya wapenzi hao wawili kutaka kufunga ndoa ikiwa ni siku chache baada ya kujitambulisha rasmi nyumbani kwa wazazi wa Wolper, ambapo kwa mujibu wa Wolper, ndoa kati yao itafuata siku chache zijazo. Angalia Video Yao Hapo chini kuna Kila Kitu
Post a Comment
Post a Comment