const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Teknolojia - HABARI MPYA

..

Showing posts with the label Teknolojia

Fahamu vitu ambavyo roboti Wa Kufanyia Map-enzi(Sexi Doll) wanaweza kuvifanya Mkiwa Chumbani soma hapa

Midoli ya ngono yaani ‘sex dolls’ bado ni mada kwenye mitandao ya kijamii na imesababisha watu kutoa maoni mbalimbali. Baadhi ya wanaume wametoa maoni yao kwamba midoli hiyo ni bora kuliko wanawake…

MBINU ZA KUSHINDA TATU MZUKA

Athari za mitandao ya kijamii katika maisha yanayotuzunguka

Je unazifahamu faida za WhatsApp , Facebook, Instagram au mitandao mingine ya kijamii? Au kufupisha habari je, wewe unanufaika na hii mitandao ya kijamii? Kutana na bwana C, ambaye anadai kw…

VITU VITANO VYA KUKAGUA KILA SIKU KABLA YA KULIWASHA GARI!

Unapotaka kutumia gari lako kwa safari yoyote ile, iwe ya umbali mrefu au ya umbali mfupi, unatakiwa kuhakikisha kuwa gari lako liko salama ili liweze kukufikisha huko unapokwenda salama. Achan…

Facebook Wataanza Kulipa Watu Kupitia Video Wanazopakia kwenye mtandao huo

Facebook wapo mbioni kuhakikisha watu wanaanza kulipwa kwa kupakia video na maudhui mengine kwenye mtandao huo, ambapo hivi karibuni wameinunua kampuni ya masuala ya hakimiliki mtandaoni Source 3 i…

TAZAMA Dunia Yetu Ilivyo Ndogo Ukilinganisha Na Sayari Zingine

Dunia yetu inaonekana ni kubwa sana ambapo ukubwa huo unatufanya sisi tujione ni wadogo sana. Ni kweli Dunia yetu ni kubwa sana ukilinganisha na sisi, lakini tukiangalia upande wa pili na tukaili…

Fahamu Matumizi ya Overdrive (OD) Kwenye Magari ya Automatic

Overdrive (OD) ni gia katika mfumo wa gari ambayo huifanya gari kuwa katika spidi kubwa huku mzunguko wa injini ukiwa mdogo. Kwa lugha rahisi, OD ni gia ya mwisho inayokupa mwendokasi. OD hukupa mw…

Ukiona Haya, Fahamu Muda wa Kubadilisha Betri la Simu yako Umefika!

Ingawa betri la simu limetengenezwa na uwezo wa kuchajiwa mara kwa mara ila inafika muda ambao lazima libadilishwe tuu. Hasa inategemea utumiaji na utunzaji wa betri husika ila mara nyingi betri li…

Add Floating Facebook Like Box in Blogger

Increase your Facebook page Likes add floating widget in your blog when someone bring mouse cursor in Facebook image a facebook like box will be appear it’s a cool widget for blogger you can see…

JINSI YA KUWEKA MATANGAZO YA ADSENSE KATIKA BLOG YA KISWAHILI

Kwa Hali ya Sasa Kumekuwa na Blogs nyingi za Kiswahili ambazo mbali na kujitahidi kupata Akaunti za Adsense bado wanakabiliwa na Changamoto Kubwa ya Matangazo yao Kutooneka, Hii Inatokana na Googl…

China Wazindua Basi la Ajabu Linaloruhusu Magari Kupita Chini Yake..Linaweza Kupakia Abiria Zaidi ya 300 kwa Mkupuo..!!

CHINA inaendelea kufanya makubwa kwenye ulimwengu wa teknalojia na sasa inazindua basi kubwa la aina yake ambalo kwa chini litaruhusu magari mengine kupita kama ilivyo kwenye daraja. Mfumo hu…

NJIA 3 RAHISI ZA KUONDOA GARI LA MANUAL TRANSMISSION KWENYE MWINUKO

Watu wengi sana hasa wanawake hupata wakati mgumu kuendesha gari lenye mfumo wa ‘manual transmission’ kwani magari haya humtaka dereva kufanya kila kitu mwenyewe tofauti na ‘automatic transmission’…

Nini maana ya 2G, 3G, 4G na 5G

Katika sekta ya mawasiliano, ni kawaida kuwasikia wataalamu na wakati mwingine watu wa kawaida wakizungumzia kuhusu teknolojia ya 2G, 3G, 4G na 5G. Maana yake ni nini? G kwenye tarakimu hizi ina…
Post a Comment