Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa mpira wa miguu (soka) ambao uhamisho wao umeingia katika rekodi ya kuwa wachezaji walionunuliwa kwa gharama kubwa zaidi kwenye historia ya 2017.
Usajili wa kwanza kuwahi kurekodiwa ni wa mchezaji Willie Groves kutoka klabu ya West Bromwich Albion kwenda klabu ya Aston Villa kwa ada ya Pauni 100 (Tsh. 290,000) mnamo mwaka 1893. Usajili huu ulifanyika miaka nane baada ya Chama cha Soka nchini Uingereza (FA) kuufanya mchezo huo kuwa ni taaluma rasmi mwaka 1885. Rekodi ya juu zaidi kwa sasa ni ya usajili wa mchezaji Neymar da Silva kutoka Barcelona kwenda klabu ya Paris Saint-Germain kwa kitita cha Yuro milioni 222 (Tsh. bilioni 598.7) mwezi Agosti mwaka huu.
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji 20 walinunuliwa kwa gharama kubwa zaidi duniani:
Post a Comment
Post a Comment