const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); EXCLUSIVE VIDEO: Aliyesali Kwa Sauti ili Gari lisisombwe na Maji Afunguka - HABARI MPYA

..

EXCLUSIVE VIDEO: Aliyesali Kwa Sauti ili Gari lisisombwe na Maji Afunguka

Inawezekana Jumapili ya May 8 2017 ulikutana na video kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha gari likiwa limezama kwenye maji huku Mmiliki wake akisikika kwenye video hiyo akiwa anasali na kukemea kwa jina la Yesu.

AyoTV na millardayo.com zimempata Mmiliki huyu na kuelezea tukio zima na sala ilivyosaidia, bonyeza play kwenye hii video hapa chini utafahamu kila kitu..

Related Posts

Post a Comment