Amezungumza jana wakati akimpokea Mnyaa mbunge wa Cuf aliyeshinda ubunge wa Afrika Mashariki.
Prof Lipumba amesema kama chadema iliweza kumuuza Dr Slaa aliyekipigania chama hawawezi kumuuza Maalim seif.
Pia amewachana chadema kuwa ni chama kilichopoteza dira na misingi yake, Prof Lipumba amesema sasa hivi watuhumiwa wa ufisadi, kuuza madawa ya kulevya, uchawi, ukwepaji kodi wote hao kimbilio lao ni chadema.!!
Prof Lipumba amebaki na mshangao tunu, miiko, dira na miiko ya chadema iko wapi??
Post a Comment
Post a Comment