"Watu saba wa familia moja katika kijiji cha Kibuhi wilaya ya Rorya mkoani Mara, wamefikishwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara mjini Musoma, kwa ajili ya matibabu, baada ya kula mboga za majani aina ya Mgagani zinazodaiwa kuwa na sumu na kusababisha kupatwa na magonjwa mbalimbali yakiwemo ya kupoteza fahamu huku baadhi yao wakirukwa na akili na hivyo kuwafanya kukimbia ovyo.
const adkPushParams = {
host: 'push.bvsrv.com',
channelId: 128,
pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4'
};
importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js');
POPULAR POSTS
- Gigy Money: Wema Sepetu ni Mwanamke Feki (Video)
- MAMBO YA KUZINGATIA KABLA NA BAADA YA KUNG'OA JINO
- VIDEO: Maajabu, Mwanaume Ajifungua Mtoto Nchini Marekani Kwa Kupitia Uume Wake
- RONALDO ATHIBITISHA JUU YA TETESI ZA MPENZI WAKE KUWA NA UJAUZITO WA MTOTO WA NNE
- MITINDO YA NYWELE KWA KINA DADA
- Idris Sultan asimulia nafasi aliyocheza kwenye filamu ya Kiumeni
- Sasa Unaweza Kurudisha Files Ulizofuta kwa Bahati Mbaya Katika Simu Yako!
- TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI HAPA BOFYA JUU YA SHULE YA MWANAO
- MAPIPA YA SUMU YADAKWA MGODINI HUKO MKOANI MOROGORO
Post a Comment
Post a Comment