Kufuatia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwenda katika ofisi za Clouds Media akiwa na askari waliokuwa na silaha za moto, Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetaja hatua ambazo limechukua kwa kitendo hicho cha RC.
TEF imetangaza kuchukua hatua tatu ambazo ni kulaani kitendo hicho, kukubaliana kutoandika au kutangaza habari zozote ambazo zinamhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar na kumtangaza kuwa adui wa uhuru wa habari.
Zaidi waweza kusoma taarifa ya TEF.
KAMA ULIMIS VIDEO YA MCHEZAJI WA Ghana ALIE JIKANYAGA KWA KUWASHUKURU MUKE NA MCHEPUKO WAKE TAZAMA HAPA
Post a Comment
Post a Comment