const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Tz Town Tv: Alichokizungumza Yusuph Manji baada ya kutajwa na RC Makonda katika tuhuma za dawa za kulevya - HABARI MPYA

..

Tz Town Tv: Alichokizungumza Yusuph Manji baada ya kutajwa na RC Makonda katika tuhuma za dawa za kulevya



Jumatano ya February 8 2017 mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alitaja mbele vyombo vya habari majina mengine ya wanaotakiwa kuhojiwa siku ya Ijumaa kuhusu tuhuma za dawa za kulevya, katika list hiyo Paul Makonda ametaja jina la mwenyekiti wa Yanga na mfanyabiashara Yusuph Manji. 

Baada ya jina la Manji kutajwa mwenyewe Yusuph Manji ameongea na vyombo vya habari na kueleza kuwa hakuna haja ya kufika Polisi Ijumaa, yeye atafika kesho na kutoa maelezo, lakini baada ya hapo atafunguwa kesi kwa jina lake kutangazwa kuhusishwa na tuhuma hizo.
TAZAMA VIDEO YOTE HAPA CHINI ALICHO KISEMA..........


video na Ayotv


UNAWEZA TAZAMA HII PIA.......Mbunge ashanmgazwa mradi wa maji kuchelewa


Related Posts

Post a Comment