WAKULIMA wa parachichi na matunda halmashauri ya Runge mkoani Njombe wanatarajia kuwa na msimamo wa masoko yao baada halmashauri yao kuanza mpango wa kujenga chumba cha kuhifandhia matunda huku umoja ukihimizwa ili kuwa na msimamo.
Hayo yanabainishwa na Afisa kilimo halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ambapo alisema kuwa ujenzi huo utawasaidia wakulima kutiza mazao yao wakati wakisubili masoko.
Anasema kuwa wakulima wakiwa katika vikundi watasimamia masoko yao na kujiwekua msimamo wa bei.
Wakulima wilayani humo wanasema kuwa kutokuwa na msimamo na kuto jiunganisha wameingia hasara wakati wa msimu uliopita wa mauzo ya parachichi.
Wakulima wa Parachichi mkoani Njombe wanaingia katika wilaya ya Rungwe kujifunza kilimo hicho na kusema kuwa wanahitaji kufanya mabadiliko ya kilimo chao.
ziara hiyo inafanywa chini ya katibu wa mbunge wa jimbo la Njombe kusini Mh Edward Mwalongo ambaye anasema.
Tazama Video hapa chini
Post a Comment
Post a Comment