Wakati watu wengi wakihangaika huku na kule ili kuweza kuitunza familia zao ambazo mara nyingi huwa ni mke, mume na watoto, mwanaume mmoja nchini Kenya ameweka rekodi kwa kuoa wake 17.
Robert Kathata kutoka nchini Kenya ameoa wake 17 huku sasa akiwa na watoto 30 lakini akitarajia kuwa na watoto 150 na kuoa wake wengi zaidi kama njia ya kuenzi urithi kutoka kwa baba yake.
Kathata amesema yeye anaweza kuwahudumia wake zake na watoto wake na ana ratiba inayomuonyesha anatakiwa kuwa wapi kwa wakati gani. Hapa chini ni video ya maelezo zaidi kuhusu mwanaume huyo wa kipekee.
Robert Kathata (36) kutoka nchini Kenya aoa wake 17 huku akitarajia kupata watoto 150. pic.twitter.com/h5FHLHNda1— Swahili Times (@swahilitimes) January 17, 2017
Post a Comment
Post a Comment