const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); UPDATES: Mkuu wa wilaya yaliye Ng'atuka - HABARI MPYA

..

UPDATES: Mkuu wa wilaya yaliye Ng'atuka


Kuna taarifa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Mwanasheria msomi ameachia ngazi hiyo mchana wa leo baada ya kwenda kuiaga Kamati ya Madiwani wa CCM ya Wilaya hiyo.
Ndugu Gabriel Simon Mnyele ameamua kufanya hivyo kwa hiari yake pasipo shuruti.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Uyui, Tabora, ndg Said Ntandi ameithibitishia Mwananchi kuwa DC Gabriel Mnyele ameaga madiwani CCM baada ya kumwandikia Rais Magufuli barua ya kujiuzulu.

Related Posts

Post a Comment